VICHEKESHO VILIVYOTUFIKIA WIKI HII
Jana nilienda kuazima chaji
kwa jirani ..sikumkuta ..nilimkuta mwanae
Nikamtumia meseji ili atoe
ruhusa nichukue
Akanijibu *21002*
Nikawa mkali nikamuambia
kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya.
Akaniambia nimesema TUMIA TU
😂😂mtatuua
na lugha zenu😜
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
: Leo Asubuhi kuna gari
imepita nyumbani
Ikabidi nianze kuikimbilia
ili nione ni nani anayeendesha
Nilipoifikia nikakuta kumbe
anayeendesha ni DEREVA :-😂😂😂😂😂😂😂😂
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
*Nilikuwa naangalia makomando
na mke wangu, mara nikasikia anasema wale ndo wanaume*.😳
*Nimemziba Kofi moja la nguvu
naona anatoka na begi....I hope anaenda kwa wanaume*😜😜
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
People smoke and drink just
once or
twice and get addicted to it.
But been studying books and papers since Nursery school but ain't
addicted to studying.
What kind of witchcraft is
this?😌😂 👇🏾
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
*Wapendwa Dada zangu, sio
kila mwanaume anayevaa suti ni tajiri.., wengine ni Wanakwaya!.*
😅😅😅🤣🤣🤣😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾
XXXXXXXXXXXXXXX
NATAFUTA MSICHANA ANAYEJUA
KUCHUNA VIZURI MAANA NATAKA KUFUNGUA BUTCHER.
😂😂😂😂😂😂😂
XXXXXXXXXXX
Jana nilienda kuazima chaji
kwa jirani ..sikumkuta ..nilimkuta mwanae
Nikamtumia meseji ili atoe
ruhusa nichukue
Akanijibu *21002*
Nikawa mkali nikamuambia
kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya.
Akaniambia nimesema TUMIA TU
😂😂mtatuua
na lugha zenu😜
XXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Leo Asubuhi kuna gari imepita
nyumbani
Ikabidi nianze kuikimbilia
ili nione ni nani anayeendesha
Nilipoifikia nikakuta kumbe
anayeendesha ni DEREVA :-😂😂😂😂😂😂😂😂
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
*Tangu ninunue blender maisha
ni simple,asubui nikitaka uji naweka maji moto nadumbukiza ugali wa jana*
☹☹☹☹
lyf limekuwa simple tu😜
mbona
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
*#Kuanzia Jumanne ijayo,
ukiona mtumishi wa umma haendi kazini, anacheza cheza na watoto hapo nyumbani,
usiulize maswali mengi!😜😜😜#*
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
*Jana mida ya saa nne
usiku tuliskia jirani analalamika _nyoka_ jamani naomba msaada, majirani
tukafurika vijana 7 kila mtu na fimbo mkononi, tukaingia barazani nakuzunguuka
hilo linyoka*
*punde UMEME UKAKATIKA* 😳😳😳😳
*_ndani ilikua
patashika mwenzako akikugusa UNAMGONGA FIMBO kuzani ni nyoka_*😂😂😂😂😂😂😂😂
_Saa hizi nipo na maumivu
kitandani hata sijui nyoka yupo au kauwawa_🚶🚶🚶
Akili zangu bhna..
XXXXXXXXXXXX
*Swali naombeni Jibu Guys*
*_Badilisha sentensi hii kwa
kiengereza*
*_"Baba mimi ni mtoto
wako wangapi? "_*
😂😂😂😂😂😂😂
*_Ngoja nicheke kwanza mana
Mimi nmejikuta ntaka ntaje sentensi kumi mara moja afu zote cdhaki kama ziko
sahihi it's your turn now*
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
*WALIMU KUPANDA DARAJA JULAI*
Serikal imesema kuanzia mwez
wa saba walimu wataanza kutembela daraja jipya la kigamboni kama njia mojawapo
ya kukuza utalii wa ndani
***ulidhani madaraja ya
mshahara ......utasubiri saaaana😁😁
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
*kama ww ni mwanamke na
unawanaume zaidi ya watatu na wote wananyonya maziwa yako, jua ww n COW BELL
OUR MILK*😂😂😂😂😂😂😀😀
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
*Hivi nan alianzisha huu
mchezo wa kunywa chai na chapati mbili*??!
*Maana nimeingia mgahawani
nimeagiza chai na chapati nne watu wote wakanitazama mimi*
🌚🌚🌚
*Tusifanyiane hivyo bhana
kila mtu na tumbo lake 😂😂😂😂😂😂*
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
*Girl:* Baby ,Can you speak
Italian, German or French??
Because you Like watching
their games so attentively.
*Boy:* Yeah I understand
Everything...
*Girl:*Mmmmh,can you speak a
little so that I can hear??
*Boy*: Neymar Totti Messi
Ancelotti Del Piero Gonzalo Dybala
Arbeloa Maldini Di Natale
Konte Atletico...
*Girl:* Waoooow....what does
it Mean???
*Boy*: In all days of my
life,You will Remain being in ma
heart.
*Girl:* Babe....Thank you
...I love you so Much...
*Boy*: Ngolo Kante...
*Girl:* Mmhh...And what does
it mean???
*Boy*:Means I love you too..
😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂
XXX
*KWA JINSI NNAVYOPENDA SIFA
NADHANI SIKU NIKINUNUA GARI NTAKUWA NALIPAKI WHATSSUP*
😂😂😂😂😂😂😂😂
XXX
Unapokua unalipa Loan Board,
na unakaribia kumaliza ghafla unaona jina lako kwenye vyeti feki kwamba kesho
hutakiwi kwenda kwa job😂😂😂😂
Hapo ndio utajua kwanini
Treni haina INDICATOR😊😝
XXX
Mke wako anarudi nyumbani
kasuka nywele za 30,000 na hujampa hata mia,we unakalia kusema waooo waoooo
kama king'ora cha ambulance.
Shauri yako we endelea
kusema waoooo waooo na atakuwa wao kweli😂😂😂😂😂😂😂
XXX
XXX
*nimeangalia tamthilia ya
kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu
alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana,
wanajifunza maudhui yake kweli?*
😂😂😂😂😂😂😂😂😂mkinuna
poa tu ndo nishasema.
XXX
*HAMNA KITU KINACHOUMA KAMA
MPATE AJALI ALAFU UKUTE WEWE TU NDIO UMEKUFA INAKERA SANAA* Unaweza kujinyonga
kwa hasira
😂😂😂😂😂
XXX
Walimu wanakazi
kweli!!!"IN CIVICS CLASS'....
Mwalimu: What is family??
Mwanafunzi: Family is medicated soap.
Mwalimu: Safi sana,
Kitaelewaka tuu siku ya Necta nguruwe weweee!!!!!😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
XXX
Mlevi: Halooo!! Hapo ni kituo
cha polisi????
Polisi: Ndiyo, tukusaidie
nini?
Mlevi: Kuna wizi umetokea.
Nilipaki gari langu baa,nimetoka nakuta usukani, dashbod na kiti cha dereva
havipo!
Polisi: Ok…!!!Upo maeneo gani
tuje sasa hivi?
Mlevi: Oooooh sorry msije
tena, kumbe niliingia mlango wa nyuma
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
XXX
Hivi ushawahi penda msichana
hadi mkiwa church unamlipia sadaka...unaweka kwa kikapu alafu unamwambia
mchungaji kwa ishara ya vidole kuwa sadaka uliyotoa ni."Ya wawili?
"..😛😛😛ikifikia
hatua hii basi ujue kazi ya moyo ni kusukuma CHAPATI
🤓🤓🤓🤓🤓
XXX
*Lakini saa zingine maisha
yanakubana mpaka unaanza kujiuliza au ni zile meseji unazoambiwa utume kwa watu
10 na kuzipuuza*😂😂😂😂
XXX
Ati wanasemanga ukimcheka mtu
utakuwa kama
yeye.... Bill Gates hahahaa,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bill gates hahahahahahahah
aha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
....
Bill Gates
woiiii Bill Gates🙆🏾♂🙆🏾♂🙆🏾♂🙆🏾♂😂😂😂
i hope nitakuwa kama
billgates
sasa
XXX
Daktari alimtembelea mgonjwa.
*Daktari*: Mbona kalala
atakua amekufa
*Jamaa*: sijafa daktari
*Mke Wa jamaa*: we acha
kubishana na watalaamu wewe 😂😂😂😂😂😂😂
wanawake nyie!!
XXX
*Hivi,ulishawahi kumpenda mtu
lakini yeye hapendi kuonekana mkiwa pamoja,yaani anakukwepa kwepa tu..*
*HUO NDIO UHUSIANO WANGU NA
PESA ULIVYO SASA*
😁😁😁😁
XXX
Mahindi gharama.....sukari
gharama..... Condom bure.....
hivi serikali inafikiri sisi
nguvu tunazitoa wap sasa Kwa mfano??
😀😀😀😀😀😀
XXX
*Mwalimu aliwauliza
wanafunzi*
*"1+1 ni ngapi"?*
*Mwanafunzi mmoja akajibu*
*"ni 4"*
*Mlevi aliyekuwa anapita nje
akastuka...*
*"Tutakufa mwaka huu
kila kitu kimepanda!*
*Nauli,Sukari, Bia, Chakula*
*....... mpaka 1+1 iliyokuwa
2 nayo imekuwa 4!*😂😂😂😂🔩🔩😭😭😭😀😀😀
XXX
*Baba yako alikuwa anakwambia
yeye alikuwa wa kwanza tu darasani juzi umemuona kwenye list ya vyeti feki..*
*Maisha bhna...* 😅😂😂🤣🤣
XXX