VICHEKESHO VILIVYOTUFIKIA WIKI HII
*Upo
ugenini unasikia "HUMU NDANI HATUJAWAHI KUPOTELEWA NA KITU"*
π€π€π€π€
XXX
*Leo
kuna mtu nimemtolea uvivu ! amenikuta nimetulia akaniuliza mbona nimekunja sura
...nikamwambia nataka kuiweka kwenye bag.*
Sipendangi
ujinga mimi
ππππππππ
XXX
*_Dogo
kampigia simu baba yake:_*
*_DOGO:_*_Baba
katika zile shilingi laki mbili ulizonipa nikalipe ada nmetumia shilingi elfu
30 kubeti._
*_BABA:_*_Unasema
nini we mpumbavu mshenzi mkubwa? Nimekukanya mara ngapi kuhusu kubeti._
*_DOGO:_*_Lakini
baba......!_
*_BABA:_*_Lakini
baba nini ngoja urudi utaona ntakachokufanya._
*_DOGO:_*_Nilitaka
kukwambia kuwa nmeshinda shilingi milioni 3._
*_BABA:_*_Ndio
hayo ninayosema wewe ni mpumbavu sana kwanini hukutumia laki nzima kubeti? Si ungepata
pesa nyingi zaidi? Ngoja urudi niwataarifu ndugu zako jinsi ulivyo na akili za
kuamua haraka mwanangu kipenzi_
XXX
*Jana
nlienda kununua parachichi la mia tano nkaomba mfuko,mama ayubu akaniambia hatoagi
mfuko kwa vitu vya chini ya elf moja Leo
nimeenda kununua vocha ya elfmoja nkaomba mfuko...mpaka sasa muuzaji
ananikodolea macho sijui anataka kunipa mifuko Miwili........!!!!!!!!*
#neva
XXX
Quote
of the day
:"Before
you laugh at children who believe in Father Christmas,just know that there are
adults who believe in ARSENE WENGER........π
XXX
*_Hivi
wote tunaolalamika pesa hakuna ni kweli tulikuwa nazo au wengine tunafuata
mkumbo tu_*
ππππππ
Samahani
lakini
πΆπΏ
XXX
*Witchcraft
is when you send your son overseas to study medicine and he comes back as a DJ*
XXX
Mambo
ya kuleftisha watu usiku,.
Kuna
mmoja wetu mmemremove saa 10 usiku, akapitia Kwa demu wake hatujakaa sawa
Mwizi
Mwizi Mwizi
Admin
achukuliwe hatua ππππ✌✌✌✌
#Ashirufadhil
XXX
No
schoolπ,
No careerπ
,No jobπ
,No talentπ
, Just iPhone 7+π
, tattoosπ,
and leggings,height waist jeans and crop top, Yet you want a guy to love you
for who you are?
.
MY
SISTER LEMME TELL YOU,
You
don't need Jesus alone . You need Jesus ... Luke... Mathew ... Moses ..., Peter
..., John ...and all of his disciples.You might also need Judas Iscariot.ππ
XXX
Kuna
wanaume wazembe sana. Hata ukimwacha na mkeo, utamkuta anapiga naye story za maisha!
#Makoba
XXX
TANGAZO!!
TANGAZO!!TANGAZO.
kama
unandugu yako amehitim chuo na yuko tayar kufanya kaz eneo lolote kulingana na
taaluma yake kwa mshara zaid ya lak7.
Mpe
hi
XXX
ukiona
unapenda ila hupendwi fanya yafuatayo...
1.tafuta
kamba
2.tafuta
kamba ngumu
3.iwe
ngumu sana
4.hakikisha
ni ngumu
5.tengeneza
bembea
6.endelea
kubembea..
maisha
sio lazima upendwe, jipende mwenyewe..
endelea
kubembea kwa raha zakoππππππππ
XXX
*Hizi
mvua jamani isije kuwa watu wametangulia kwenye safina sie hatufahamu π³π
*
XXX
*hali
ya hewa ya dar es salaam kwa kipindi hiki inapendeza sana mkiwa wawili*
*mmoja
apike chai mwengine akanunue chapati..we endelea tu kufikiria ujinga*
XXX
Boy:
naitwa Solomon
Girl:
soπ
Boy:
lomon
ππ
XXX
*Binti
alipokea txt kwny cm yake "Hi,mremb una boyfriend?" BINTI:Ndio, ninae
kwan we nan?? "Mimi ni baba
yako naomb nkukute hapo nyumbn unielez vzuri" Baad ya mda kidog akapokea text nyingn
"Hlw!,una boyfriend?" BINTI:Cna kabixaa! Bt u nan tena?? "Mi ni boyfriend wako nlitak kujua
unavyojicfia kuw na mm, kwl nimegundua hunipend" BINTI:Oh,sorr bby nlijua
baba ang mana ametok kuniulza swl iloilo!
"Yes,ndio mm baba yako yan leo utantambua nkirud uko shenz
ww!!!!"..*
XXX
*Samahani
Dada mimi nina mpenzi wangu nampenda na siwezi kumsaliti*
*Boyz
kama yupo mwenye Huu msimamo aje nimpeleke Makumbusho ya Taifa*
ππππππππ
XXX
*HIVI
USHAWAHI KUWA NA NJAA!! HADI IKAFIKA HATUA UKAKOSA NGUVU YA
KUJAMBA*
ππππππππππππππ
**akili
zangu bhana....
XXX
We
mwanamke endelea tu kulala na njaa, ukizaa watoto wa ajabu usitulaumu!
XXX
BOY
: Mambo baby
GIRL:
(kimyaaa)
BOY
: Mbona kimya hujibu
text
zangu baby...
GIRL:
(kimyaaa)
BOY
: 539967894306871
vocha
hiyo ya 5000
GIRL:
Mbona haiingii baby
❤❤❤
BOY
: Gongelea na nyundo
π¨π¨ π¨π¨
ππππππππππππ
XXX
*Wanaume
wenzangu usijifanye kidume sana kwenye Sex wewe sio mashine*
*Kama
umechoka simama Vaa ondoka*
*wanawake
huwa hawaridhiki*
*KWANZA
HUWEZI KUSHINDANA NA ULIPOTOKA*
ππππππππππ
XXX
When
your wife keeps her head on your chest and slowly asks
"Dear,
do you have any women in your life other than me"?
Remember
your answer is not important at this time
Important
is your heartbeat. Keep your heart beat in control
So
be carefulππ
XXX
Baba:We
kenge kavae uniform uende shule
Mtoto:Duh!!
kweli nyie wenzetu binadamu mmeendelea
yani hata sisi kenge mnataka twende shule
NIMEACHA
AMBULANCE INAKUJA ITAKUWA INAKUJA KUMCHUKUA MTOTO AENDE SHULE...πππππππππππππ
XXX
*_Hakuna
KUNYONYA_*
*_Hakuna
KURAMBA_*
*_Hakuna
KUTIA KIDOLE waLa KUSHIKA_*
*_Ni_*
*_ONYO_*
*_Limewekwa
kweny Duka La kuuza AsaLi_*
ππππππππππ
XXX
Ushawahi
kuvuta bangi mpaka rafiki yako anakwambia kesho harusi ya dada yake wewe
ukamuuliza "mwili utaletwa saa ngapi"!?
Bangi
sio pepsi...
XXX
*ili
utajirike lazima ufaham mambo makubwa mawili*
πππππ
*mambo
yenyewe hata siyafaham ndo maana sjatajirika? tuendelee kuangaika tu ndugu
yangu hakuna namna*
XXX
XXX
*Yeyote
anaesoma hii mesej, Namuombea mwaka huu
apate mimba!*
ππππππ
*Type
Amen!*
XXX
*My
girlfriend was asking me why i've never smiled at her ever since we started
dating, she is forgeting that she told me she wanted a serious relationship.*πππππππ
XXX
*_Mwalimu
Wa Hesabu Aliingia Dalasani Na Akaanza Kumuuliza Juma Swali_*
Mwalimu:juu
Ya Mti Kuna Ndege 20 Ukiichukua Bunduki Ukawapiga Ndege 2 watabaki wangapi?
Juma:
hawata baki wote wataluka kwa kuogopa mlio wa bunduki
Mwalimu:
hapana umekosa watabaki ndege 18 ILA nimependa ulivyojibu umewaza mbalii
Juma:
sawa mwalimu nami naomba nikuulize swali
Juma:
kuna wadada wawili walinunua chocklet mmoja akawa ananyonya mwingine akawa
analamba we unahisi yupi ni mke wa mtu?
Mwalimu:
nadhani mke wa mtu ni yule anaye nyonya
Juma:
hapana mke wa mtu ni yule mwenye pete ya ndoa ila nimependa ulivyojibu umewaza
mbaliii
Ukileta
uchizi .....tunakusogezea ujingaaaπππππ€π€ππ
XXX
*wachagga
ndilo kabila pekee duniani ambalo hucheza ngoma zao za asili wakiwa wameshikana
mikono, lengo la kushikana mikono ni kuzuia lile jambo la kuchomoleana noti mifukoni*ππππΏππΏππΏππΏππΏππΏ
XXX
*BAUNSA:*
Baa Hii Washenzi Wote!
*KAUNTA:*
Kwani Vip Mzee? Tumekukosea Nini?
*BAUNSA
:* Nimeenda Chooni Jambazi Mmoja Na bastola si akaniwekea Kichwani Akadai
Nikikataa Asinibake Ananilipua Risasi Ya Kichwa
*KAUNTA:*
He Pole Wahuni Hao, Sasa Imekuwaje
*BAUNSA
:* Imekuwaje Nini? Maswali Gani
Hayo? Kwani Umesikia Mlio Wa Bunduki
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
XXX
*TUWENI
MAKINI NA UANDISHI WA CV ZETU*
*Mfanyakazi*
: Bosi leo mvua ina nyesha sana kwetu!!! Maji yamejaa kuzunguka nyumba yetu
hivyo siwezi kufika kazini
*Boss*:
kwenye cv yako ya maombi ya kazi ulia,ndika hobby yako ni kuogelea hivyo
tukutane kaziniππππππ
XXX
*_```Sasa
hivi kwenye daladala nimemgusa mtu alokaa mbele ili apunguze volume ya music wa
Simu yake; Kwa kiherehere chake akanipa elfu kumi bila kunitizama akidhani mie
ni konda.```_*
*_Imebidi
nishuke pale pale kwa raha zangu._*
*_```Sipendagi
ujinga kabisaaa mwezi ukiwa kona```_*
π‘π‘π‘πππ
XXX
*Bila
wewe siwezi kuishi wala kupumua* *nakupenda sanaaa*
*Pua
yanguuuu*
ππππ
*Ulizani bange nimeacha ee*
πππππππ
XXX
*Kuna
mume wa mtu kafumaniwa na kabinti nyumba ya tatu toka kwao. Anadai alisombwa na
mafuriko yakamtupa huko. Hili ni jambo la hatari sana. Nashauri wanaume
tujihadhari sana kutembea kwenye mikondo ya maji*
π€π€π€π€π€
XXX
Vichekesho
hivi vimetolewa katika ‘magroup’ mbalimbali ya WhatsApp. Kwa bahati mbaya,
watunzi wake, huwa hawaandiki majina yao. Hata hivyo wachache wamefanya hivyo.