VICHEKESHO 10 VILIVYOTUFIKIA WIKI HII



1.   *A successful man is the one who makes more money than his wife can spend*. *A SUCCESFUL WOMAN IS THE ONE WHO CAN FIND SUCH A MAN*😂 #funnyquote
XXX

2.   Mchaga​​ hata apate kazi bank bado atasema yupo ​kibaruani​.
Acha sasa ​​mhaya​​ apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa;
utaskia ​i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company​

😂😂😂😂
#sijamtaja_mtu.
XXX

3.   *SAMAHANI NILIKUWA NAULIZA HIVI MATEMBELE KWA KIINGEREZA YANAITWAJE*
🤓🤓🤓
XXX


4.   Angalia wadada walivyoumbuka kwenye hii test

Ticha katangaza test , Akatoa Masharti; Ukiandika jibu hamna kufuta au kukata.

Swali la 1: Taja vyakula vitatu ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula (marks 1)

WAVULANA wakajaza; wali, ugali, mihogo.
WADADA wakajaza; burger, pizza, egg chop.

Swali la 2: Eleza jinsi ya kupika kila chakula ulichotaja hapo juu. (marks 99)

Wacha wadada waanze kuhangaika kufuta majibu ya mwanzo!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
XXX

5.   WIFE : "Nisaidie fon yako plz..."
HUBBY : "mmmh ...okay ngoja niwashe nilikuwa nimezima kiasi ...."
Deletes pictures
Deletes inbox
Deletes sent items
Deletes dialed calls
Deletes received calls
Deletes missed calls
Delete some contacts
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
FORMAT Memory CARD ?? - YES
HUBBY : "Nimeiwasha ndio hii babe"
WIFE : "Thenks nataka tu kuangalia ni saa ngapi niset simu yangu"
HUBBY: Si ungeniuliza tu nikwambie😂😂😂😂��
XXX

6.   *Wadau kuna mtoto wa jirani hpa kameza jero..ili kuitoa nimpeleke hospital au MPesa?* 🤔🤒
XXX

✨✨✨✨✨✨

7.   Stress ni pale msimamizi Wa mtihan anaposimama nyuma yako mda mrefu kisha anatangaza
  "Jaman somen maswali kwa makini"

😳😳😳😳😳😳
#final battle#
XXX

8.   *Girl:* Baby ,Can you speak Italian, German or French??
Because you Like watching their games so attentively.
*Boy:* Yeah I understand Everything...
*Girl:*Mmmmh,can you speak a little so that I can hear??
*Boy*: Neymar Totti Messi Ancelotti Del Piero Gonzalo Dybala
Arbeloa Maldini Di Natale Konte Atletico...
*Girl:* Waoooow....what does it Mean???
*Boy*: In all days of my life,You will Remain being in ma
heart.
*Girl:* Babe....Thank you ...I love you so Much...
*Boy*: Ngolo Kante...
*Girl:* Mmhh...And what does it mean???
*Boy*:Means I love you too..
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
XXX

9.   *Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupu*...

*Nikaamua kuvaa gloves*... *Sipendagi aibu ndogo ndogo ukweni*. 😏😏😏


😂😂😂😂😂😂😜😜😜
XXX

MAMA: Mwanangu njoo nikufundshe
hesabu
MTOTO: Sawa mama
MAMA: Kwa mfano shangazi yako
akakupa Maandazi mawili Halafu
Akakupa tena Mawili jibu lake litakuwa
nini?
MTOTO: Asante Shangazi
XXX

10.               *dhambi kubwa duniani ni kutumia WIFI ya kanisani kudownload X video*
😁😁😁😁😁😁
XXX

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2024

Vichekesho vya Kuchekesha na Kuvunja Mbavu 1