Jaribio la Kiswahili Kidato cha Tatu
MUDA SAA 1
MAELEKEZO;
JIBU MASWALI
YOTE
VIFAA
VISIVYOHUSIANA NA SHERIA ZA MTIHANI HAVIRUHUSIWI
SEHEMU A.
1.
Chagua jibu sahihi
i.
Ni ipi maana ya fasihi andishi
a.
Ni sanaa ambayo hutumia maneno yaliyoandikwa
ili kufikisha ujumbe
b.
Ni sanaa ya uandishi
c.
Ni sanaa muhimu inayohusika na
uandishi mbalimbali
ii.
Hadithi inaweza kugawanywa katika
tanzu mbili ambazo ni
a.
Lakabu na majazi
b.
Hadithi fupi na ushairi
c.
Hadithi fupi na riwaya
SEHEMU B
2.
Andika K kwa jibu la kweli na S kwa
jibu lisilo la kweli
i.
Kuna mikondo sita ya hadithi
ii.
Wahusika wachache ni jambo mojawapo
la kuzingatia katika utungaji wa hadithi fupi
SEHEMU C
3.
Tunga hadithi fupi kuhusu kisa
chochote cha kusisimua
4.
Tunga tamthiliya fupi isiyozidi
kurasa moja kuhusu ajira kwa watoto.
MAJIBU YA
JARIBIO LA KWANZA
SEHEMU A (20%)
1.
i. A
ii. C
SEHEMU B (20%)
2.
i. S
ii. K
SEHEMU C (60%)
3.
hadithi iwe na sifa zote za hadithi
fupi kama vile;
*Wahusika
wachache
*Mandhari finyu
*Fupi
4.
Tamthiliya iwe na sifa zote za tamthiliya kama vile;
*Matumizi ya dayolojia
*Wahusika wachache n.k