VICHEKESHO HIVI VITAKUVUNJA MBAVU, SOMA KWA TAHADHARI
WANAWAKE WANAKULA KWA TABU
Hakuna
watu wanaokula kwa tabu kama wanawake
wenye lipstick.. Wakitaka kula wanatoa meno nje kama ngiri😝😝
MLEVI MAHAKAMANI
Mlevi
kapelekwa mahakamani Hakimu akamwambia
wewe sasa hii mara ya pili unakuja
hapa
Mlevi:
mbona we kila siku upo hapa na hakuna alokwambia kitu
😂😂😂😂😂😂😂
MBWEMBWE ZA DOKTA RUTACHUNZIBWA
Dr.
Rutachunzibwa: Dada niwekee petrol full tank tafadhali
Fuel
attendant: Sir, I don't speak swahiri, I only speak English
Dr.
Rutachunzibwa; Ok! good morning my dear, I currently feel a profound desire to
replenish the propelling of my motorized automobile. Therefore I
cordially
request you to transfer from your subterranean reservoir a sufficient quantity
of the combustible fluid of the highest
octane
rating to fill the appropriate receptacle of the said means of perambulation to
the brim.
Fuel
attendant:🙄
Natania tu boss wangu, shikamoo; umesema niweke full tank??
Dr.Rutachunzibwa
Kakazi
nyabaki kalofu obugulu oti bwe endai!
Fuel
attendant: Sijakuelewa boss, unasemaje??
Dr.
Mwakyusa: Anasema jaza mpaka juu.
😂😂😂😂😂😂😂