HALI YA TUNDU LISSU BAADA YA KUTOLEWA RISASI 21
SIKU ya Alhamisi, mbunge wa
Singida Mashariki, Tundu Lissu, alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana.
Baadaye alipelekwa Nairobi Kenya kwa ajili ya matibabu.
Mwenyekiti wa Chadema,
Freeman Mbowe, ameeleza kuhusu hali ya Tundu Lissu kuwa, anaendelea vizuri
baada ya kufanyiwa upasuaji uliodumu kwa zaidi ya saa nne wakimwondolea risasi
21 zilizompata mbunge huyo.
Watu mbalimbali wamelaani
kitendo cha kupigwa risasi kwa Tundu Lissu na wamekiita kitendo hicho kuwa ni
unyama usiovumilika.
NA: MOWASHA| NGEME...
Exciting