Tangazo la Kazi ya Ualimu
Nafasi
Mwalimu wa Physics, Chemistry, Mathematics.
Mwalimu wa Biology na Geography.
Sifa
- Shahada ya Elimu kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali.
- Anayeishi Dar es Salaam atapewa kipaumbele.
Majukumu
- Kuandaa notes.
- Kufundisha.
Jinsi ya kuomba
Tuma CV pekee kwenda email: daudmakoba@rocketmail.com, au Kwa njia ya WhatsApp namba: 0754 89 53 21