Vitabu Sahihi Vitakavyokufanya Ufaulu Mitihani Yako
Ili
uweze kufaulu mtihani, unahitaji kusoma vitabu sahihi.
Vitabu sahihi vina sifa zifuatazo:
1. Vimeandikwa kwa kufuata silabasi.2. Vimetumia lugha rahisi.3. Vinaweza kujibu maswali mengi ya NECTA.
Utawezaje kutambua kuwa Vitabu ulivyonavyo siyo sahihi?
Hatua
ya kwanza, chunguza kama unaposoma unaelewa au huelewi, endapo huelewi
unaposoma, hicho siyo kitabu sahihi.
Hatua
ya pili, chukua mtihani wowote wa NECTA. Tafuta majibu ya mtihani huo kwenye
kitabu au notes ulizonazo, kama majibu mengi huyapati, achana na kitabu hicho,
kitakufanya ufeli mtihani wako.
Endapo
unahitaji vitabu sahihi vitakavyokufanya ufaulu mtihani wako, suluhisho
limepatikana.
Vitabu
vinapatikana katika mfumo wa nakala laini (soft copy). Na utatumiwa katika simu yako katika mfumo wa pdf.
Gusa
Hapa kupata Vitabu sasa!